Header Ads

Nuh anasa kwa dogodogo mwenzake


MWANAMUZIKI Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amenasa kwenye penzi la dogodogo mwenzake aliyemtaja kwa jina moja la Nawal ambaye amesema kwa sasa ndiye amechukua nafasi ya aliyekuwa mpenzi wake, Zuwena Mohammed  ‘Shilole’.
Akipiga stori na Ebwana Dah,
Nuh amesema kuwa kwa sasa hajakosea kwani ameangukia kwa mtoto mrembo mwenye asili ya Uturuki na kwa sababu hana mambo mengi anaamini watadumu kwenye penzi. “Huyu hana mambo mengi bwana, ndiyo kwanza amemaliza shule, si mtu wa kwenye miziki, kwa hiyo hapa nimetulia,” alisema Nuh.  
Barakah

No comments