Header Ads

Pam D UBONGE UNANITESA

MKALI wa Kibao cha Nipe Nono, Pamela Daffa ‘Pam D’ ameeleza kuwa ubonge nyanya alionao kwa sasa unamtesa kwani amefanya kila juhudi kuuondoa bila mafanikio. 
 
Akiteta  Pam D alisema amekuwa akitumia dawa mbalimbali za kupunguza mwili ambazo zinamgharimu fedha nyingi, pia kufanya mazoezi kwa nguvu, lakini bado ubonge unabaki vilevile hali inayomsababisha akose raha. 

“Nimenenepa mpaka najichukia, na sijui kwa nini sipungui licha ya kwamba nafanya mazoezi sana na kutumia dawa kibao, ukweli nateseka sana na hali hii,” alisema Pam D.

No comments