• Latest News

  June 06, 2016

  PICHA: Hakuna tena bado nipo nipo: Mwana FA afunga ndoa

   Hitmaker huyo wa Asanteni kwa Kuja amefunga ndoa na mchumba wake aitwaye Helga.

  Mwana FA unaona lini? Hatimaye jibu lake limepatikana. Rapper huyo amefunga ndoa Jumapili hii.

  image
  Ndoa hiyo ya kiislamu imehudhuriwa na ndugu na marafiki zake wa karibu wakiwemo AY, Hermy B, Ommy Dimpoz, Sallam, Dully Sykes, Alberto Msando na wengine.
  Tazama picha zaidi:
  image
  image
  image
  image
  Tunampongeza FA kwa hatua hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: PICHA: Hakuna tena bado nipo nipo: Mwana FA afunga ndoa Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top