• Latest News

  June 13, 2016

  PLUIJM HATAKI UTANI, BAADA YA SAFARI YA SAA 9 HADI ANTALYA, YANGA IMETUA NA MOJA KWA MOJA IMEANZA MAZOEZI  Kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm, hataki mchezo na anajua ugumu wa michuano ya Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali.

  Ndiyo maana baada ya timu yake kusafiri kwa saa takribani tisa kutoka Dar es Salaam hadi Istanbul ambayo ni saa 7 na dakika 20, halafu kutoka Istanbul hadi Antalya safari ya saa 1 ana dakika 20. Walipotua tu, wamepumzika kidogo na kuanza mazoezi.

  Kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi ingawa yalikuwa mazoezi mepesi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: PLUIJM HATAKI UTANI, BAADA YA SAFARI YA SAA 9 HADI ANTALYA, YANGA IMETUA NA MOJA KWA MOJA IMEANZA MAZOEZI Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top