Header Ads

POLAND YAIKOMALIA UJERUMANI, MZIGO WAISHA BILA BAO DAKIKA 90 ZOTE


Ujerumani na “wajomba” zao Poland wametoka sare ya bila bao katika mechi tamu ya Euro 2016.

Ilikuwa mechi ya ufundi mwingi na iliyovutia lakini hakuna timu iliyofanikiwa kupata bao. Cheki pichaaaaz za action.No comments