• Latest News

  June 01, 2016

  RAIS KENYATTA AKUTANA NA RAILA ODINGA KATIKA IKULU YA NAIROBI

  UH1
  Rais wa Jahuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mh Raila Odinga wakati alipomkaribisha Ikulu kwa Chakula cha Mchana na Mazungumzo katika Ikulu ya Nairobi kwa mwaliko wa Ikulu ambapo viongozi wa Chama cha CORD walialikwa kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za siku ya Mdaraka (Madaraka Day)inayotarajiwa kufanyika leo  mjini Nakuru nchini humo, Kulia ni Makamu wa Rais wa Kenya Mh. William Ruto na Kushoto ni Gavana Mosess Watangula.
  UH2
  Rais wa Jahuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta kulia akiongozana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mh Raila Odinga wakati Waziri Mkuu huyo mstaafu alipoalikwa katika Ikulu ya Nairobi kwa chakula cha mchana na maadhimisho ya Madaraka Day yanayotarajiwa kufanyika leo mjini Nakuru, Kushoto ni Gavana Mosess Watangula.
  UH3
  Rais wa Jahuri ya Kenya Mh. Uhuru Kenyatta akipozi kwa picha na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Mh Raila Odinga wakati Waziri Mkuu huyo mstaafu alipoalikwa katika Ikulu ya Nairobi kwa chakula cha mchana na maadhimisho ya Madaraka (Madaraka Day) yanayotarajiwa kufanyika leo mjini Nakuru,  kulia ni Makamu wa Rais wa Kenya Mh. William Ruto na Kushoto ni Gavana Mosess Watangula.(P.T)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS KENYATTA AKUTANA NA RAILA ODINGA KATIKA IKULU YA NAIROBI Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top