• Latest News

  June 12, 2016

  Ruby na Aslay ni Wapenzi sms zao zanaswa!

  Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia mitandao ya kijamii hususani instagram, najua huenda ukawa umekutana na post za mastaa wa Bongofleva Ruby na Aslay ambazo zinatafsirika kama wapo kwenye mahusiano. Haijajulikana kwa mara moja kama ni kiki au ni serious ni wapenzi ila hii ndio ishu inayo trend kwa sasa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Ruby na Aslay ni Wapenzi sms zao zanaswa! Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top