• Latest News

  June 30, 2016

  TFF YAMFUNGULIA MASHIKATA JERRY MURO, SHAURI LITASIKILIWA KESHOKUTWA JUMAMOSI


  Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemfungulia mashitaka Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro.

  TFF imeandika barua kumtaka Muro ahudhurie kikao cha kamati ya maadili ili kujitetea na kimepangwa kufanyika keshokutwa Jumamosi.


  Muro anatuhumiwa kuishambulia TFF kwenye vyombo vya habari ingewa haijaelewa ni wapi na lini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TFF YAMFUNGULIA MASHIKATA JERRY MURO, SHAURI LITASIKILIWA KESHOKUTWA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top