Header Ads

Twite amesaini miaka miwili mingine kuendelea kuichezea YangaBeki mkongwe, Mbuyu Twite amesema anajivunia kusaini mkataba mpya na Yanga.

“Wameonyesha wameniamini, niahidi nitaendelea kupambana kwa ajili ya Yanga,” alisema.


Twite amesaini miaka miwili mingine kuendelea kuichezea Yanga baada ya zoezi hilo kufanyika jana.

No comments