Header Ads

UBELGIJI YAITWANGA SWEDEN NA KUISUKUMIZA NJE YA EURO 2016 NA ZLATAN WAKENAINGGOLAN AMBAYE NI MFUNGAJI WA BAO PEKEE KATIKA MECHI HIYO AKIMDHIBITI ZLATAN...

Radja Nainggolan anayewaniwa na Chelsea, ameifungia Ubelgiji bao moja tu muhimu lililoipa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Sweden.

Ubelgiji imesonga mbele hatua ya 16 Bora lakini mshambuliaji nyota na nahodha wa Sweden, Zlatan Ibrahimovich na kikosi chake, wanarejea kwao Ulaya Kaskazini.

Mechi ilikuwa tamu na ya kuvutia, lakini mwisho Sweden wanafunga safari kurejea kwao baada ya kipigo hicho.a

No comments