Header Ads

UFARANSA WALIVYOTINGA ROBO FAINALI YA EURO 2016


Kikosi cha wenyeji wa michuano ya Euro, Ufaransa kimetinga robo fainali baada ya kuitwanga Ireland Kaskazini kwa mabao 2-1.

Ireland ambao walitangulia kufunga bao mapema kabisa, walishindwa kuvumilia mziki wa wenyeji ambao walifunga mabao yote mawili kupitia Antoine Griezman.


No comments