Header Ads

Video: Rich Mavoko rasmi WCB, kasainishwa rasmi leo

Mwimbaji wa bongofleva Rich Mavoko amesaini rasmi kuwa chini ya lebo ya WCB ambayo inasimamiwa na Diamond Platnumz akiungana kuwa chini ya lebo na wakali wengine ambao ni Raymond na Harmonize.

No comments