• Latest News

  June 30, 2016

  ZLATAN, MAN UNITED WAMALIZANA, ATATANGAZWA RASMI IJUMAA  Baada ya kusubiriwa kwa muda mwingi, hatimaye Manchester United inatarajia kumtangaza rasmi Zlatan Ibrahimovic kuwa mchezaji wake mpya.

  Zlatan,34, atatangazwa Ijumaa hii kuwa mchezaji wa Man United iliyo chini ya Jose Mourinho.

  Raia huyo wa Sweden amemaliza mkataba wake na PSG ya Ufaransa ambako alifanya vema baada ya maisha yake ya soka akiwa Ajax nchini Uholanzi baadaye nchini Italia akiwa na Juventus, Inter Milan na AC Milan, pia Barcelona ya Hispania.
  Taarifa zinaeleza kwamba Man United na Zlatan kila kitu kipo katika hatua za mwisho kabisa.

  DAILY MAILY
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: ZLATAN, MAN UNITED WAMALIZANA, ATATANGAZWA RASMI IJUMAA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top