Header Ads

BAADA YA UBINGWA WA EURO, RONALDO AMBEBA MAMA, KAKA YAKE, MWANAYE NA NDUGU KWENDA KULA BATABaada ya kuiwezesha Ureno kutwaa taji la Euro kwa mara ya kwanza, Cristiano Ronaldo ameamua kula bata kama sehemu ya mapumziko.

Lakini ameonyesha yeye ni mtu wa familia baada ya kuichukua familia yake tote akiwemo mama yake mzazi Maria Delores na mwanaye pekee, Cristiano Jr.

Kama hiyo haitoshi kawachukua ndugu wengine pamoja na kaka yake, mke wa kaka yake, mtoto wao na wengine ili wale raha pamoja katika eneo la starehe pwani ya Ibiza.No comments