Header Ads

BAADA YA UJERUMANI KUKOSA KOMBE, SCHWEINSTEIGER AAMUA KUFUNGA NDOA


Siku chache baada ya Ujerumani kukosa ubingwa wa Ulaya kwa kufungwa na Ufaransa katika nusu fainali, kiungo wake mkongwe Bastian Schweinsteiger, amefunga ndoa.

 Schweinsteiger ambaye anakipiga Manchester United, amefunga  ndoa ya Ana Ivanovic leo. Mcheza tenisi huyo ni mpenzi wake ambaye wamekuwa kwenye uhusiano tokea mwaka 2014.

CHEKI MAPICHAAAZZZ.


No comments