Header Ads

BREAKING NEWS: ASKARI ALIYEMUUA MWANAHABARI MWANGOSI AFUNGWA JELA MIAKA 15

MAHAKAMA  kuu ya Tanzania  kanda  ya  Iringa  leo  imemuhukumu kwenda  jela miaka  15 kwa kosa la mauaji  ya  bila  kukusudia  askari wa kikosi cha  kutuliza ghasia (FFU) mwenye  namba G .2573 Pacificius Cleophace Simon (27)  aliyemuua mwandishi  wa  habari  wa  kituo  cha Chanel Ten Daudi  Mwangosi .

Chanzo: www.matukiodaima.co.tz

No comments