• Latest News

  July 31, 2016

  CHUJI ATUA KMC FC, LENGO NI KUIPANDISHA LIGI KUU, YACHUKUA WACHEZAJI MBEYA CITY, KAGERA
  Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amezindua rasmi kikosi cha kuipandisha KMC FC katika Ligi Kuu  Bara na moja ya mambo aliyofanya ni kumkabidhi jezi yake kiungo mpya wa timu hiyo, Athumani Iddi ‘Chuji’.

  Chuji ambaye ni nyota wa zamani wa Simba, Yanga na Mwadui FC amejiunga na timu hiyo tayari kabisa kuhakikisha msimu uhao inapanda daraja.  Pamoja na Chuji wengine ambao wamesajiliwa na KMC FC ni Eric Mawala (kutoka Mbeya city), Issa Ngoah (Simba), Rashid Roshwa (Kagera Sugar), Lembele Jerome (Kagera Sugar) na Mussa Kidu (JKT Ruvu).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: CHUJI ATUA KMC FC, LENGO NI KUIPANDISHA LIGI KUU, YACHUKUA WACHEZAJI MBEYA CITY, KAGERA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top