Header Ads

EXCLUSIVE: UONGOZI WA SIMBA WAANZA RASMI UJENZI WA UWANJA WA BUNJU..


Baada ya kufanya maandalizi ya kikosi chao kwa utaratibu mzuri kabisa, sasa uongozi wa Simba umeanza ujenzi wa kiwanja chake na uhakika msimu wa 2016-17, Simba itafanya mazoezi kwenye uwanja wake.

Ujenzi wa uwanja huo ulio Bunju umeanza kwa tingatinga kuanza kazi ya kusawazisha kifusi ambacho kimejazwa katika enero hilo.

No comments