• Latest News

  July 29, 2016

  GENK YAPATA USHINDI WA BAO 1-0 KUWANIA KUCHEZA EUROPA  Kikosi cha KRC Genk anachokichezea Mtanzania Mbwana Samatta kimepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Cork.

  Ushindi huo ni katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Europa na sasa Genk iliyokuwa nyumbani itatakiwa kulinda ushindi huo finyu katika mechi ijayo ugenini.
  Shujaa wa Genk alikuwa ni Bailey ambaye alifunga bao hilo pekee huku Genk wakipoteza nafasi nyingi za kupata mabao zaidi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: GENK YAPATA USHINDI WA BAO 1-0 KUWANIA KUCHEZA EUROPA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top