• Latest News

  July 28, 2016

  GUARDIOLA AWAPONDA WALIOANDAA MECHI YAO DHIDI YA MAN UNITED NCHINI CHINA


  Kocha Pep Guardiola wa Man City amemtupia lawama muandaaji wa michuano ya International Cup iliyopangwa Beijing China na kusema, hakuangalia afya za wachezaji.

  Guardiola amesema, isingewezekana hata kidogo wao kuivaa Man United katika uwanja ule.

  Mechi kati ya Man United dhidi ya Man City iliahirishwa baada ya hali ya hewa kuwa chanzo cha kuharibika kwa uwanja.


  Kama ingechezwa ingekuwa mechi ya kwanza kuzikutanisha timu hizo nje ya jiji la Manchester United.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: GUARDIOLA AWAPONDA WALIOANDAA MECHI YAO DHIDI YA MAN UNITED NCHINI CHINA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top