Header Ads

Happy Birthday KAJALA MASANJA


LEO ni siku muhimu sana kwa Staa wa Bongo Muvi, Kajala Masanja ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. 2jiachie tunakutakia heri ya kuzaliwa.
Tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.
Happy Birthday  KAJALA Masanja!

No comments