• Latest News

  July 06, 2016

  HATIMAYE IMEFIKIA MWISHO, PISTORIUS AFUNGWA MIAKA SITA JELA


  Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius amefungwa jela miaka sita na atarejea uraiani mwaka 2019.

  Pistorius amefungwa baada ya kupatikana tena na hatia ya kuua mpenzi wake Reeva Steenkamp mwaka 2013.

  Jaji Thokozile Masipa aliyemhukumu, amesema mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 29 amepewa nafasi ya kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HATIMAYE IMEFIKIA MWISHO, PISTORIUS AFUNGWA MIAKA SITA JELA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top