• Latest News

  July 08, 2016

  HATIMAYE MAXIME AACHANA NA MTIBWA SUGAR NA KUTUA KAGERA SUGAR


  Baada ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Mecky Maxime ametua Kagera Sugar.

  Maxime ambaye alikuwa akiinoa Mtibwa Sugar, sasa amesaini mkataba wa kuinoa Kagera Sugar.

  Meneja wa Kagera Sugar, Mohammed Hussein amesema Maxime ndiye kocha mkuu akichukua nafasi ya Adolf Rishard.
  Awali, kulikuwa na taarifa za kuondoka kwa Maxime kwenda Kagera, lakini uongozi wa Mtibwa Sugar ulilikataa hilo.


  Kuna tarifa Mtibwa Sugar inatarajia kumrejesha Salum Mayanga ambaye sasa anainoa Prisons.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HATIMAYE MAXIME AACHANA NA MTIBWA SUGAR NA KUTUA KAGERA SUGAR Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top