Header Ads

Huawei Wazindua Maonesho Ya Teknolojia


1
Kutoka kushoto, Waziri Prof. Mbarawa, Naibu Waziri Mkuu wa Kongo, Thomas Luhaka na Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Tanzania, Levin Zhang wakikata utepe wakatiwa uzinduzi wa tamasha hilo.
2
Afisa masoko wa Huawei, Ian Ellis akitoa ufafanuzi kwa Waziri Mbarawa na wageni wengine, ndani ya gari lenye mitambo ya kisasa.
3
Waziri Mbarawa akizungumza na waandishi wa habari, muda mfupi baada ya uzinduzi huo.
4 Mwonekano wa gari lenye mitambo hiyo ya kisasa.
5Wafanyakazi wa Huawei na baadhi ya wadau wakifuatilia uzinduzi huo.
Hashim Aziz/GPL. KAMPUNI ya kutengeneza na kuuza simu za mkononi ya Huawei, leo imezindua maonesho ya teknolojia yakiwa na kauli mbiu ya Open Roads to a Better Connected Africa, tukio lililofanyia kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Posta jijini Dar. Katika uzinduzi huo, mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Kazi, Usafirishaji na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa aliyeambatana naNaibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Thomas Luhaka.

No comments