Header Ads

Ibrahimovich ni mali ya Manchester United kwa mwaka mmoja


Achana na zile habari za itakuwa, sasa Zlatan Ibrahimovich ni mali ya Manchester United maarufu kama Mashetani Wekundu baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja.

Zalatan atakuwa akilipwa pauni 200,000 kwa wiki na kuwa mmoja wa wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi katika Ligi Kuu England.

Cheki picha zake baada ya kutua Man United, rasmi.No comments