• Latest News

  July 01, 2016

  KAMA ZALI MWANANGU, URENO NA RONALDO WATINGA NUSU FAINALI EURO KWA KUICHAPA POLAND KWA PENATI 5-3


  Unaweza kusema kama zali mwanangu, maana Ureno iliyokuwa inaonekana itaishia hatua ya makundi ya Kombe la Euro, leo imetinga nusu fainali.

  Ureno inayoongozwa na nahodha wake Cristiano Ronaldo imetinga nusu fainali kwa kuibandua Poland kwa mikwaju 5-3 ya penalti.

  Changamoto ya mikwaju ya penalti ilipewa nafasi baada ya sare ya bao 1-1 katika dakika 90 na baadaye 120.

  Poland starting XI: 
  Fabianski, Piszczek, Glik, Pazdan, Jedrzejczyk, Blaszczykowski, Krychowiak, Maczynski (Jodlowiec), Grosicki (Kapustka), Milik, Lewandowski

  Portugal starting XI:
  Rui Patricio, Cedric, Pepe, Fonte, Eliseu, William Carvalho (Danilo), Joao Mario (Quaresma), Renato Sanches, Adrien Silva (Moutinho), Nani, Ronaldo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KAMA ZALI MWANANGU, URENO NA RONALDO WATINGA NUSU FAINALI EURO KWA KUICHAPA POLAND KWA PENATI 5-3 Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top