Header Ads

Kamati ya maadili yatupilia mbali malamiko ya TFF kuhusiana na Jerry Muro


July 1 2016 taarifa za mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Jerry Muro kuitwa na kamati ya maadili kujieleza kutokana na kauli zake, iliingia kwenye headlines kabla ya leo July 2 kuitikia wito.
Jerry muro ambaye awali alikuwa anaituhumu TFF imepanga njama za kutaka kumfungia miaka mitatu kutojihusisha na soka, aliitwa leo na kamati ya maadili na badala yake kamati imeamua kumfutia mashitaka hayo kutoka na barua yake ya kuitwa na TFF ilikuwa na makosa mengi.

No comments