Header Ads

Kanga Moja Kiunoni... MBENGEMBEGE - 18

 
ILIPOISHIA: Ilikuwa saa moja juu ya alama usiku, mama Mei akajitanda kanga juu na chini, akatoka kwa umakini hadi kwenye mlango mkubwa wa Mfaume, akaushika, akausukuma, ukafunguka, akaingia na kumkuta Mfaume amekaa sebuleni kwake akiangalia tivii... “Karibu sana anti,” Mfaume alikaribisha kwa sauti ya chini ya kuibia wengine wasisikie... JIACHIE MWENYEWE SASA.. TAMBAA NAYO SASA...
“ASANTE sana anko, nimekuja nina shida na wewe,” alisema mama Mei akikaa huku akimwangalia Mfaume kwa sura ya aibu. Baada ya mama Mei kukaa, ukimya mdogo ulipita, hakuna aliyeongea na mwenzake, matokeo yake kila mmoja alionekana anawaza jambo fulani. Mfaume alijua amefuatwa kutukanwa tena, ila aliondoa mawazo hayo baada ya kuiona sura ya mwanamke huyo umechangamka sana... “Anko,” mama Mei alianza kwa kuita... “Naam, niambie anti nakusikiliza.” Mama Mei kabla hajasema, alipeleka kidole kimoja kinywani na kung’ata kucha mara kadhaa huku akitema vipande ambavyo hata hivyo, havikuwepo..! “Unajua nimewaza sana...” “Kuhusu nini anti..?” “Kuhusu maneno yako kwamba, utamwambia mume wangu akirudi...” “Anhe, kwa hiyo?” “Mimi nimewaza sana, nimeona hakuna sababu ya kuharibiana maisha, nimekubaliana na wewe,” alisema mama Mei huku akimwangalia Mfaume kwa jicho la kuibia...
“Kwa hiyo inakuaje sasa?” “Nakusikiliza wewe,” mama Mei alijibu. Mfaume alihisi anataniwa, hakuamini machoni pake. Alimwangalia tena mama Mei huku akijishikashika vidole vyake... “Mimi kusema kweli nimetokea kukupenda sana mama Mei, we hujui tu. Naumia kila siku ya Mungu ninapokuona na ninapokusikia sauti yako, ndiyo maana nikaweza kumwona yule kijana akitoka,” alisema Mfaume kwa sauti ya chini sana... “Mh! Kweli hata mimi nakupenda sana jamani, lakini naomba unitunzie siri asijue mtu mwingine yeyote yule.” Mfaume alimshika mama Mei, akamsimamisha, akamwingiza chumbani kwake huku akifumbafumba macho ya mahaba... “Umefunga chumbani kwako?” aliuliza Mfaume... “Ndiyo.” “Oke, ngoja na mimi sasa nikafunge mlango mkubwa,” alisema Mfaume akitoka. Usiku huo alikuwa ndani ya bukta tu. Mfaume aliufunga mlango huku mate yakimtoka. Alikuwa haamini kama kweli mama Mei amemkubalia... “Daa! Leo hakuna kulala,” alisema moyoni huku akienda chumbani. Kwa upande wake, mama Mei yeye alichanganyikiwa. Alijua piga ua galagaza, kwa uamuzi wake kichwani asingekubali kumpa penzi Mfaume kwa jinsi anavyomjua yeye... “Da! Ni kwa nini ninapopenda hapawi sawa, ila nisipopenda. Kama mzee Hewa, yule ni kama alinibaka tu. huyu naye anatumia mwanya wa usaliti wangu ili anipate. Jombi ambaye nilikuwa na ridhaa naye, ndiyo hivyo tena, mwanaume suruali.” Mara, Mfaume aliingia huku akiachia tabasamu gumu ile mbaya... “Vipi anti, uko poa?” Mfaume alimuuliza... “Niko poa sana jamani,” alijibu mama Mei akiwa amejilaza kitandani tayari kwa mpambano ambao aliufuata mwenyewe uwanja wa ugenini. Mfaume alipanda kitandani kwani alishaoga, akalala upande wake. Bado moyo wake ulikuwa huamini kama kweli, pale kitandani alikuwa na mama Mei... “Mama Mei,” aliita Mfaume kwa sauti yenye kukwaruza sana... “Abee,” mama Mei aliitikia kwa sauti tamu, sauti ya kike, sauti yenye mvuto kwa mwanaume yeyote yule awe rijali au la! “Nakupenda sana “Hata mimi nakupenda sana.” Mfaume alipata nguvu, akamgeukia mama Mei na kumkumbatia, naye akakumbatiwa. Walishikana, wakahamasishana na kupeana joto la mahaba, mwishowe wakaingia kwenye uwanja kusakata mpira. Ilikuwa shughuli nzito, ilikuwa kazi sana. Mama Mei licha ya moyoni mwake kutokuwa tayari lakini hakuweza kuonesha kwamba hakuwa tayari, kwani ushirikiano wake ulikuwa wa asilimia mia moja huku akisema maneno mazuri ya mahaba kwa mwanaume huyo. Hali hiyo ilipandisha munkari kwa kila mmoja na kusababisha wote kuzama sawasawa kwenye mahaba mazito. Mfaume muda mwingi alikuwa akimwangalia mwanamke huyo kwa staili ya kumkagua kwa undani na umakini wa hali ya juu... “Anko...anko...anko,” aliita mama Mei kwa sauti iliyojaa haraka kama vile kuna jambo baya amelisikia au amelijua wakati huo wakiwa badi wanaendelea kucheza... “Mmm...mmm,” aliitikia Mfaume kwa sauti nzito ya kiume akisubiri kuambiwa alichoitiwa kwa haraka kiasi kile...  Da

No comments