• Latest News

  July 26, 2016

  KASEJA AULA, APEWA NAFASI YA UKOCHA WA MAKIPA TIMU YA TAIFA YA VIJANA


  Kipa nyota nchini, Juma Kaseja ameteuliwa kuwa kocha wa makipa wa kikosi cha vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys.

  Kaseja anaungana na kikosi hicho ambacho kinasafiri kwenda kambini Madagascar kupitia Afrika Kusini.

  Kaseja amechukua nafasi ya kocha wa makipa aliyekuwepo awali ambaye anabaki nchini kwa ajili ya kushiriki kozi za ukocha.


  Kipa huyo wa zamani wa Simba, alikuwa katika mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya na Mbeya City.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KASEJA AULA, APEWA NAFASI YA UKOCHA WA MAKIPA TIMU YA TAIFA YA VIJANA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top