Header Ads

KIKOSI CHA YANGA LEO: CANNAVARO AREJEA KIKOSINI, PLUIJM AMTULIZA TAMBWE BENCHI

KIKOSI CHA YANGA LEO WAKATI IKIIVAA MEDEAMA KATIKA MECHI YA KOMBE LA SHIRIKISHO. YANGA IKIWA UGENINI, KOCHA HANS VAN DER PLUIJM AMEANZA NA BEKI NAHODHA NADIR ALI HAROUB BAADA YA KUMKOSA VICENT BOSSOU. PIA MSHAMBULIAJI AMISSI TAMBWE ANAANZIA BENCHI KATIKA MECHI YA LEO.

No comments