• Latest News

  July 03, 2016

  List ya wachezaji 30 wa Simba watakaotumika msimu wa 2016/2017

   
  Baada ya klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba kufanya usajili kimya kimya na kwa usiri mkubwa, July 1 2016 walitangaza kocha wao mpya Mcameroon Joseph Omog na leo July 2 2016 wameamua kutangaza list ya wachezaji wao wote watakaowatumia katika msimu wa 2016/2017.

  Magolikipa:
  Foreign: Vincent De Paul Angban
  Peter Manyika
  Denis Deonis

  Beki wa kulia:
  Hamadi Juma: Coastal Union
  Salum Kimenya: Prisons

  Beki wa kushoto:
  Mohamed Hussein
  Abdi Banda

  Mabeki wa kati:
  Novaty Lufunga
  Foreign: Juuko Murushid
  Emmanuel Simwanza: Mwadui FC
  Foreign: Janvier Besala Bokungu

  Viungo:
  Jonas Mkude
  Awadh Juma
  Foreign: Justice Majabvi

  Saidi Ndemla
  Mwinyi Kazimoto
  Mzamiru Yassin: Mtibwa Sugar
  Mohamed Ibrahim: Mtibwa Sugar
  Foreign: Mussa Ndusha

  Winga:
  Peter Mwalyanzi
  Jamal Mnyate – Mwadui FC
  Shiza Kichuya – Mtibwa Sugar
  Hassan Kabunda – MwaduiFC

  Washambuliaji:
  Ibrahim Hajibu
  Daniel Lyanga
  Haji Ugando
  Mbaraka Yusuf – Kagera Sugar

  Laudit Mavugo – Vital’O (Burundi)
  Blagnon Goue Frederic: Africa Sports (Ivory Coast)

  Ame Ali – Azam FC
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: List ya wachezaji 30 wa Simba watakaotumika msimu wa 2016/2017 Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top