• Latest News

  July 08, 2016

  LULU DIVA NA SKENDO YA KUJIUZA, ASHANGAZWA

  VIDEO Queen ‘hot’ Bongo, Lulu Abbas ’Lulu Diva’ amedaiwa kuitumia fani yake ya u-modo kutafuta mabwana huku akijumuishwa kwenye listi ya wasanii wengine ambao hutumia picha za nusu utupu kujitongozesha kwa wanaume kupitia mitandao ya kijamii. 
   
  Akiifungukia skendo hiyo, Lulu Diva alisema anashangazwa na wanaomtuhumu kufanya hivyo kwani yeye ameingia
  kwenye u-modo kusaka pesa kama zilivyo kazi nyingine.


   “Eti natumia picha zangu hizi ninazopiga kutafuta mabwana, jamani u-modo ni kazi kama zilivyo kazi nyingine. “Madai ya kwamba na mimi ni kama wao wanaojiuza kiaina kwenye mitandao siyo ya kweli, kwanza nina baby wangu, sasa naanzaje kujiuza tena wakati nahudumiwa kwa kila ninachotaka?”
  alisema Lulu Diva. Lulu Diva ni mmoja wa mastaa wenye figa matata na amekuwa akitumia umbile lake hilo kujinadi mtandaoni kwa picha za kihasara mwenyewe akidai ni ili kujitangaza na kupata madili ya kuonekana kwenye videa za wasanii.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: LULU DIVA NA SKENDO YA KUJIUZA, ASHANGAZWA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top