Header Ads

Magazeti ya Tanzania Leo Jumapili ya July 3, 2016...Sinema mpya panga pangua wakuu wa Wilaya


Kada aliyeteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Ally Muswanya ameachia wadhifa huo hata kabla ya kuapishwa.
Wakati uteuzi wa makada watatu wa kwanza ulisahihishwa na Ikulu, Maswanya hajaibuka kwenye hafla ya kiapo na tayari mtu mwingine amekwenda kuziba nafasi yake. BONYEZA HAPA KUSOMANo comments