Header Ads

Majina ya watahiniwa waliyochaguliwa kujiunga na vyuo, Cheti na Diploma


Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza kuwa limetoa majina ya Watahiniwa waliyochaguliwa kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada kwa mwaka wa masomo 2016/2017.
Waombaji waliochaguliwa kwa kila kozi itolewayo na chuo husika yamekabidhiwa vyuoni kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS).
Waombaji waliochaguliwa wamearifiwa kupitia kurasa (profile) zao binafsi au kwa KUBOFYA HAPA.

No comments