• Latest News

  July 21, 2016

  MAN UNITED IMEKUBALI KULIPA KIASI CHA PAUNI MILIONI 105 KUMNASA PAUL POGBA


   Manchester United imekubali kulipa kitita cha pauni milioni 105 ili kumnasa Paul Pogba.

  Pogba anayetokea Juventus, amekuwa gumzo baada ya kuwa na tetesi za kutakiwa na Manchester United na Real Madrid.

  Hata hivyo, Madrid walijitoa na kuna taarifa ambazo zimeripotiwa na BBC kwamba Man United imekubali kumwaga fedha hizo ili kumpata kwa kuwa Kocha Jose Mourinho amesisitiza, anamhitaji hasa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAN UNITED IMEKUBALI KULIPA KIASI CHA PAUNI MILIONI 105 KUMNASA PAUL POGBA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top