Header Ads

Manchester United wamsajili Henrikh Mkhitaryan kutokea Borussia Dortmund

Man United wamefanikiwa kumsajili Henrikh Mkhitaryan kutokea Borussia  Dortmund kwa mkataba wa miaka minne, Mkhitaryan anakuwa mchezaji wa tatu kujiunga na Man United baada ya kusajiliwa kwa Eric Bailly kutoka  Villarreal na Zlatan Ibrahimovic kama mchezaji huru.


No comments