• Latest News

  July 05, 2016

  MANENO YA MOURINHO MARA BAADA YA KUTANGAZWA RASMI


  Kocha mpya wa Man United, Jose Mourinho amesema maneno kadhaa mara tu baada ya kukabidhiwa kikosi hicho kwa kutangazwa mbele ya waandishi.

  Katika shughuli hiyo ya kutangazwa leo, Mourinho amesisitiza suala la kuhakikisha Man United inakuwa timu inayofuzu kwa uhakika kucheza michuano ya kimataifa hasa Ligi ya Mabingwa.

  Lakini amesisitiza atakuwa ni mtu mwenye kufanya maamuzi magumu bila ya uoga.

  Kilichowavutia wengi, ni baada ya Mourinho kusema anahitaji kila kitu na kama inawezekana ni kushinda mataji yote.

  TAKWIMU:
  UMRI: 53
  CLUB ALIZOFUNDISHA:
  2000 Benfica
  2001-02 Uniao de Leiria
  2002-04 Porto
  2007-07 Chelsea
  2008-10 Inter Milan
  2010-13 Real Madrid
  2013-15 Chelsea
  2016-present Manchester United
  Honours:
  Champions League x2
  UEFA Cup x1
  Premier League x3
  FA Cup x1
  League Cup x3
  La Liga x1
  Spanish cup x1
  Serie A x2
  Italian cup x1 
  Portuguese league x2
  Portuguese cup x1 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MANENO YA MOURINHO MARA BAADA YA KUTANGAZWA RASMI Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top