• Latest News

  July 31, 2016

  Mbowe Atua Polisi Kuhojiwa na msafara wa magari nane leo, Lowassa Azuiwa Kuingia

  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia  na Maendelea (Chadema), Freeman Mbowe  leo july 31 amewasili makao makuu ya jeshi la polisi kuitikia wito wa kuhojiwa na jeshi hilo huku hali ya  usalama ukiwa imeimarishwa   kabla na baada ya Mbowe kuwasili .
   
  Mbowe akiwa na msafara wa magari nane walikutana na ulinzi huo makali ambapo  magari ya Mbowe na Wakili Peter Kibatala ambaye alikuwa na Tundu Lissu ndio yaliruhusiwa kuingia. 

  Gari la Edward Lowassa na viongozi wengine wamezuiwa kwenye geti la kuingia kituoni hapo ambapo geti hilo limezibwa na gari la maji ya kuwasha ili kutoruhusu gari yoyote kutoka au kuingia
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mbowe Atua Polisi Kuhojiwa na msafara wa magari nane leo, Lowassa Azuiwa Kuingia Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top