• Latest News

  July 27, 2016

  MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO (Kwaya ya Mtakatifu Kizito)


  Mimina Neema. Ni Toleo la 11 la Kwaya ya Mtakatifu Kizito, Parokia ya mwenye heri Anuarite - Makuburi, Dar es salaam. Huu ni wimbo mmoja miongoni mwa nyimbo 12 zinazofanya Album hii. Jipatie nakala yako ya DVD sasa. Piga simu namba +255 715 160 055 au +255 743 731 937
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO (Kwaya ya Mtakatifu Kizito) Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top