• Latest News

  July 29, 2016

  Miss Tanga 2016 Kufanyika leo Tanga Beach Resort

  Warembo wanaowania Taji la Urembo Mkoa wa Tanga (Miss Tanga 2016) ambalo linaandaliwa na Kituo cha Radio cha TK FM cha Mjini Tanga kwa kushirikiana na Hotel ya Tanga Beach Resort wakiwa kwenye picha ya mapozi.


  Warembo wanaowania Taji la Mrembo wa Mkoa wa Tanga (Miss Tanga 2016) wakiwa kwenye pozi katika hotel ya Tanga Beach Resort kutakapofanyika shindano leo Ijumaa.
  Warembo hao wakimsikiliza Mratibu wa Shindano ya Miss Sinza 2016 ambaye aliitembelea kambi hiyo jana.

  Mdau wa Tasnia ya Urembo hapa nchini,Benny Kisaka akitoa nasaha kwa warembo wanaotarajiwa kushiriki kinyang'anyiro cha kumtafuta Mlimbwende wa Mkoa wa Tanga (Miss Tanga 2016 ) itakayofanyika Ijumaa leo  kwenye Ukumbi wa Hotel ya Tanga Beach Resort.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Miss Tanga 2016 Kufanyika leo Tanga Beach Resort Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top