• Latest News

  July 29, 2016

  MOURINHO APIGA PANGA WACHEZAJI TISA, YUMO MKONGWE SCHWEINSTEIGER


  Anajulikana kwa jina la Jose Mourinho, kocha mkuu mpya wa Manchester United ambaye leo amewatema wachezaji tisa akiwemo mkongwe, Bastian Shweinsteiger.

  Mjerumani huyo, ameelezwa uso kwa uso na Mourinho ambaye amefanya hivyo kwa wachezaji wengine nane hivyo kukamilisha idadi ya tisa aliowatema.


  Taarifa zinaeleza, Mourinho amewaambia wachezaji hao kutafuta timu.

  WALIOTEMWA:
  Mabeki:Tim Fosu-Mensah, Paddy McNair, Tyler Blackett, Cameron Borthwick-Jackson.

  Viungo: Bastian Schweinsteiger, Andreas Pereira, Adnan Januzaj

  Washambuliaji: Will Keane, James Wilson
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MOURINHO APIGA PANGA WACHEZAJI TISA, YUMO MKONGWE SCHWEINSTEIGER Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top