• Latest News

  July 12, 2016

  NDEGE ILIYOWABEBA RONALDO, NANI ILIMWAGIWA MAJI YA RANGI ZA KIJANI NA NYEKUNDU


  Ndege iliyokuwa imewabeba, Cristiano Ronaldo, Luis Nani, Pepe na wachezaji wengine wa timu ya taifa ya Ureno ilimwagiwa maji yenye rangi nyekundu na kijani wakati ikiwasili mjini Lisbon.

  Hiyo ilikuwa ni ishara ya heshima kwa kuwa nyekundu na kijani ni rangi za bendera ya taifa la Ureno.


  Ureno wametwaa kombe la Euro 2016 hilo kwa kuifunga Ufaransa ambao ni wenye kwa bao 1-0.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NDEGE ILIYOWABEBA RONALDO, NANI ILIMWAGIWA MAJI YA RANGI ZA KIJANI NA NYEKUNDU Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top