• Latest News

  July 03, 2016

  NEYMAR AONGOZA KWA MSHAHARA MBELE YA MESSI, RONALDO, 10 BORA HII HAPA


  Neymar wa Barcelona ndiye anachukua mshahara mkubwa zaidi kwa mwaka mmoja. Nafuatiwa na Messi na hivyo kuifanya Barcelona kuwa inalipa mshahara mkubwa zaidi ikifuatiwa na Madrid.


  Tano bora inaonekana kutawaliwa na Barcelona na Madrid zikiwa na wachezaji wawili kila moja. Maana yake timu za Hispania ndiyo zinalipa vizuri zaidi hasa kwa wachezaji wake nyota zaidi.

  10 BORA HII HAPA:
  Neymar:  euro milioni 56
  Messi:  euro milioni 50
  Cristiano: euro milion 47.5
  Ibrahimovic:  euro milioni 26.7
  Bale:  euro milioni 21.4
  Rooney:  euro milioni 16.9
  Luis Suarez:  euro milioni 16
  Iniesta:  euro milioni 16
  Hazard:  euro milioni 16
  Aguero:  euro milioni 15.1
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NEYMAR AONGOZA KWA MSHAHARA MBELE YA MESSI, RONALDO, 10 BORA HII HAPA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top