• Latest News

  July 15, 2016

  Picha 5 za Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe Alivyofunga ndoa jana Zanzibar

  Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe jana aliuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zilifanyika Zanzibar.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Picha 5 za Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe Alivyofunga ndoa jana Zanzibar Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top