Header Ads

Picha: Timu ya Yanga waondoka kuwafata Madeama, GhanaMSAFARA wa watu 30 wa Yanga SC, wakiwemo wachezaji 20 wameondoka leo Jumamosi kwenda Ghana tayari kwa mchezo wa marudiano Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Medeama wiki ijayo.
(PICHA: RICHARD BUKOS/GPL)

No comments