Header Ads

RAYON MABINGWA WA KOMBE LA AMANI, WAITWANGA APR 1-0 AMAHORORayon Sports imeendeleza babe katika soka nchini Rwanda baada ya kuichapa APR kwa bao 1-0 katika mechi ya fainali ya Kombe la Amani, leo.

Katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Amahoro jijini Kigali, mechi ilitawaliwa na ubabe kuanzia mwanzo.


Rayon walipata bao katika dakika 3 za mwisho za nyongeza na Diarra ndiye aliyewazamisha baada ya kupiga, mabeki wakaokoa na yeye kuuwahi na kumalizia huku wengi wakiamini mechi ingeenda dakika 30 za nyongeza.

No comments