• Latest News

  July 21, 2016

  SAM ALLARDYSE AU BIG SAM NDIYE KOCHA MPYA WA ENGLAND...



  Chama cha Soka England (FA), kimekubaliana kila kitu na kocha Sam Allardyse maarufu kama Big Sam ili achukue nafasi ya kukinoa kikosi hicho.

  Taarifa zinasema, ndani ya muda mchache, Big Sam atatangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa England anayechukua nafasi ya Roy Hodgson.

  Hodgson alijionyesha mlango wa kutokea baada ya England kuvurunda kwenye michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SAM ALLARDYSE AU BIG SAM NDIYE KOCHA MPYA WA ENGLAND... Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top