Header Ads

Shilole ampa Steve Nyerere dozi ya mauno!


Katika ile shoo iliyopewa jina la Black Tie iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita pale kwenye Ukumbi wa King Solomoni, Namanga jijini Dar vilifanyika vitimbwi vingi, kimojawapo ni mauno ya msanii Zuwena Muhammed ‘Shilole’ aliyokuwa akimkatikia msanii wa filamu, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’.
shilole steve nyerere (2) 
Mastaa hao waligeuka kivutio kwa staili waliyokuwa wakicheza pale Mwanamuziki Christian Bella alipokuwa akiporomosha burudani.
Wakati mwingine maneno mengi hayana tija, jionee picha hapo chini jinsi Steve alivyopewa dozi ya viuno na Shilole.

No comments