• Latest News

  July 16, 2016

  Shule 7 za Unguja Zanzibar zawa za Mwisho Kitaifa

  Baraza la mitihani Tanzania(NECTA) imetangaza matokeo ya kidato cha sita 2016, na Kuzitaja shule zilizo fanya vizuri zaidi Kitaifa na zile ambazo hazikufanya vizuri Kitaifa.

  Ubora wa shule umepagwa kwa kutumia kigezo cha Wastani wa Pointi (Grade Point Average – GPA) ambapo A=1, B=2, C=3, D=4, E=5 na F=7

  Aidha, upangaji wa shule zilizofanya vizuri umezingatia shule zenye idadi ya watahiniwa wasiopungua 30 kama ifuatavyoa:

  =>Shule 10 Bora Kitaifa
  1. Kisimiri (Government)

  2. Feza Boys (Private)

  3. Mwanza Alliance Girls (Private)

  4. Feza Girls (Private)

  5. Tabora Boys (Government)

  6. Marian Boys (Private)

  7. Kibaha (Government)

  8. Mzumbe (Government)

  9. Ilboru (Government)

  10. Tandahimba (Private)


  ==>Shule 10  za  Mwisho Kitaifa
  1.Mpendae (Unguja)

  2.Ben bella ( Unguja)

  3.Tumekuja (Unguja) 

  4.Green Bird Boys (Kilimanjaro)

  5.Jang'ombe (Unguja )

  6.Kiembesamaki (Unguja ) 

  7.Tanzania Adventist ( Arusha )

  8.Al-Ihsan Girls ( Unguja )

  9.Azania (Dar es salaam )

  10: Lumumba (Unguja)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Shule 7 za Unguja Zanzibar zawa za Mwisho Kitaifa Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top