• Latest News

  July 18, 2016

  Taarifa kamili kuhusu habari ya Rais Magufuli kumteua Jerry Murro kuwa msaidizi wa mawasiliano ya Rais Ikulu


  Baada ya taarifa kuenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa Rais John Pombe Magufuli amemteua Jerry Murro ambaye alikuwa afisa habari wa Yanga kuwa msaidizi wa mawasiliano ya Rais Ikulu, kurugenzi ya mawasiliano imekanusha habari hizo na kusema kuwa sio za kweli.

  Barua iliyoandikwa kutoka Ikulu imesema ‘kuna taarifa zimesambazwa zikisema kuwa Rais Magufuli amemthibitisha Gerson Msigwa kuwa mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu huku msaidizi wake akiwa ni aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Murro, taarifa hizo sio za kweli na wananchi wazipuuze'
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Taarifa kamili kuhusu habari ya Rais Magufuli kumteua Jerry Murro kuwa msaidizi wa mawasiliano ya Rais Ikulu Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top